Sunday, February 7, 2010

Malaika


Fadhili Williams



Miriam Makeba



Harry Belafonte and Miriam Makeba



Angelique Kidjo



Boney M



Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika

Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ngekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika

Malaika, which means "angel" in Swahili and Arabic, was a song first recorded by Kenyan musician Fadhili William and his band Jambo Boys in 1960. Authorship of the song is often attributed to Fadhili William, but that is somewhat disputed.
It was later re-recorded at Equator Sound Studios by the British-born Kenyan music promoter Charles Worrod, who marketed the ballad to eventually becoming an internationally acclaimed song. The song went on to be popularised by international artists such as The Brothers Four, Helmut Lotti, Hep Stars, Rocco Granata, Miriam Makeba, Harry Belafonte, Pete Seeger, Boney M and Angélique Kidjo.

4 comments:

  1. There's another very nice kiswahili song, "Jambo"

    ReplyDelete
  2. will look it up...
    ok whatz the diff?
    swahili/kishwahili....me dumb.

    ReplyDelete
  3. http://www.youtube.com/watch?v=_VWBND1ggF8

    thats the jambo bwana song, I love it! :-)
    Ki is a prefix to denote swahili as a language in particular (other prefixes for swahili people, swahili culture)

    ReplyDelete